Hii Hapa Ripoti Kuhusu Simu Na Kompyuta Zilizochukuliwa Na Polisi.

Mnamo oktoba 29 2015, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ilikwenda kuchukua kompyuta za mezani 24, kompyuta mpakato tatu, simu za ofisini 25 pamoja na simu binafsi za watumishi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kilichopo Mbezi Beach, kwa madai kituo hicho kilivunja sheria za mitandaoni ya mwaka 2015 kifungu cha 16 kwa kukusanya na kusambaza taarifa mitandaoni kinyume cha sheria .
Post a Comment
Powered by Blogger.