Haya Ndo Maoni Ya Wanachama Wa Simba Kuelekea Mkutano Mkuu ''MO'' Atawala.

Wanachama wanataka klabu iendeshwe kisasa na kuanza mfumo wa zamani kwani MO anataka achukue Hisa ya asilimia 51 na 49 zinabaki kwa klabu hivyo Simba itakuwa na maendeleo makubwa na itaingia katika mfumo mzuri ulio bora na kama kweli hilo litapita ndani ya mwaka moja na nusu itakuwa na uwanja wa kisasa na itaanza kushindana na timu kubwa kama vile TP Mazembe,Zamalek,Al-Ahly,Kaize Chief na nyingine.

Post a Comment
Powered by Blogger.