BREAKING NEWS: TANZIA, Aliyekuwa Mbunge Wa Kilindi Beatrice Shelukindo Afariki DuniaAliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.
Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.


Post a Comment
Powered by Blogger.