Yanga Yasajili Vifaa Vya CAF Na Haya Ndo Majina Yao.

Yanga.

Beno Kakolanya.

Vicent Endrew akichuana na Deus Kaseke.

Anaamini kuwa Yanga itakuwa na mechi nyingi mfululizo na Kakolanya atakuwa msaada mkubwa katika nafasi hiyo muhimu katika kulinda lango.

Mpaka sasa timu ya Yanga imesajili jumla ya wachezaji wanne wa ndani baada ya kuwasajili Ramadhani Kessy toka Simba pamoja na Juma Mahadhi kutoka Coast Union ya Tanga ambayo tayari imeshuka daraja.
Post a Comment
Powered by Blogger.