WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA SABABU ZA WASANII WANAOTUMIA MADAWA.

Mh.Nape Nnaupe.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye amefunguka sababu kubwa inayopelekea wasanii wengi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ni pamoja na wasanii hao kuwa na majina makubwa lakini mfukoni hawana kitu.
NAPE-NNAUYE

Post a Comment
Powered by Blogger.