WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZITAKA BENKI ZIPITIE UPYA RIBA ZAO.

Waziri mkuu wa Tanzania

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka benki nchini zipitie upya riba zake ili Watanzania waweze kukopa na WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka benki nchini zipitie upya riba zake ili Watanzania waweze kukopa na kurejesha kwa urahisi.
Amesema Jumuiya za Benki ya Wananchi inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo mfumo hafifu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) pamoja na ufinyu wa mitaji.kurejesha kwa urahisi.
Post a Comment
Powered by Blogger.