Wanawake kutoka kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamika sana kuhusu kutopachikwa mimba na wanaume wao. Wanawake hawa kwa hasira, wameapa kuhamia kaunti nyingine watakakopewa uja uzito ili wapate watoto.