WAJUE MASTAA WA BONGO FLEVA NA MOVIE WALIOJICHORA TATTOO KWA AJILI YA MTU FULANI.
Seetheafrica.com linakuletea orodha ya mastaa ambao waliojichora tattoo za wasanii wenzao kwa kuashiria mahaba mazito waliyonayo kwao pamoja na shukrani kwa mazuri waliyofanyiwa na waliowaandika au kuyachora majina yao.

Kipindi cha mahaba niue baina yake na Shilole, Nuh Mziwanda ilikuwa ngumu kumwambia chochote kwa mwimbaji na mwigizaji huyo.

 Alikufa na kuoza kwa Shilole, kiasi cha kufikia hatua ya kujichora mkononi tattoo ya sura ya Shilole na maneno ya Shishi baby, huku Shilole naye akiliandika jina la Nuh juu ya kifua chake, kuonyesha mahaba yake kwa king’asti wake.
Post a Comment
Powered by Blogger.