VURUGU ZA WAARABU ZA SABABISHA TIMU YA ES SETIF,KUFUTWA LIGI YA MABINGWA CAF YATANGAZA.
![]() |
Kikosi cha Es Setif. |
Mashabiki
hao walianzisha vurugu kubwa na kusababisha mchezo huo kusimama kwa
kipindi kirefu, baadaye mwamuzi akalazimika kumaliza mpira wakati
mashabiki walipoamua kurusha mawe, chupa na vitu vingine uwanjani
wakionyesha kutofurahishwa kwa kuwa timu yao ilikuwa nyuma kwa mabao
2-0.
Huenda hilo linaweza kuwa funzo kwa mashabiki wa soka nchini hasa wale wa Yanga ambao timu yao inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho, kwamba hawatakiwi kufanya vitendo vya kihuni kwa kuwa Caf, hawana mchezo katika hilo.
www.seetheafrica.com