Mwanamuziki Diamond Platnumz leo anaendesha tax za usafiri wa Uber uliozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Dar es Salaam umekuwa ni mji wa 475 duniani kutumia usafiri huu wa mtandao wa Uber.
Hapa chini ni picha na video ya Diamond Platnumz akisafirisha abiria maeneo tofauti tofauti ya Dar es Salaam leo.