UJUE UGONJWA WA KISUKARI NA TIBA YAKE.

Ugonjwa wa Kisukari.
Na Dorcas Safiel, Alex Sonna

UJUE UGONJWA WA KISUKARI

 Kisukari ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu, sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali isulini.

DALILI ZA KISUKARI

Watu wachache huzaliwa na uhaba wa insulini,watu walio wengi wana udhaifu fulani unaokuwa hatari kutokana na aina ya chakula na maisha ya kila siku.kutumia  sukari nyingi ,mafuta katika chakula na vinywaji,kukosa mazoezi ya mwili kunywa pombe nyingi na kuvuta sigara huongeza hatari ya kushika kisukari kuanzia baada ya miaka ya ujana.
Ugonjwa wa kisukari ni mlolongo wa matatizo mwilini ya muda mrefu na mfupi kutokana na upungufu au kutoweza kutumika vizuri kwa kichocheo kinachoitwa insulini.
Insulin hutengenezwa na chembechembe zilizopo ndani ya kiungo cha kongosho. miili yetu inahitaji insulin ili kuweza kutumia sukari tuliyo nayo mwilini ,sukari inatokana na chakula ambacho tunakula kila siku na hutumika kwa kutupa nguvu mwilini.
Kwa kawaida  sukari ikizidi ya ziada huifadhiwa katika ini kama mafuta,mafuta hayo hubadilishwa kuwa sukari na kutumika wakati tukiwa na njaa kwa muda mrefu.Endapo kuna matatizo ya kutengeneza au kutumika kwa insulini /

VIASHIRIA VYA UGONJWA WA KISUKARI (RISK FACTORS).


 TIBA YA UGONJWA WA KISUKARI. MADHARA YA UGONJWA WA KISUKARI.

Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili madhara mengi yanaweza kujitokeza  na yanatokana na kiwango cha sukari kuwa juu mwilini.

Tunashauriwa kupima kama tuna ugonjwa wa kisukari kila mwaka, hivyo basi wasiliana nasi kwa namba (+255) 
  0717 035770.
pia tupo mwenge mpakani karibu na bodi ya mikopo. 
Post a Comment
Powered by Blogger.