UJUE UGONJWA UNAOTA SEHEMU ZA SIRI.


Na Alex sonna, Dorcas Safiel.

 
FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALI MBALI ZA MWILI (GENITAL WART AU SKIN)


 MASUNDOSUNDO\VIGWARU\GENITAL WARTS\SKIN NI NINI?

Ni vinyama laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri,vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume,uke,mrija wa mkojo (urethra),maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbali mbali za mwili.
Ugonjwa wa masundosundo husababishwa na virus waitwao (HUMAN PAPILLOMA VIRUS,HPV).
ugonjwa huu wa masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya janga la ukimwi, hivyo watu wenye wapenzi wengi,wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo na haja kubwa ,wajawazito,watumiaji wakubwa wa sigara na pombe ,watu wenye upungufu wa kinga mwilini wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu.

AINA ZA MASUNDOSUNDO .

Hata hivyo kuna aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani kuna ambao wanaosababisha masundosundo katika sehemu tofauti kama vile mkono,mgongoni,mguuni nk. 

DALILI ZA MASUNDOSUNDO.
MADHARA YA MASUNDOSUNDO.

CERVIX). 

NB; Mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambukiza mwenza wake.

MATIBABU NA JISI YA KUEPUKANA NA UGONJWA HUU.

Matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi iwapo tatizo halijachelewa kupatiwa tiba, matibabu hutolewa kwa kufuata utaratibu wa majibu yaliyopatikana katika vipimo mbalimbali,matibabu hayo huweza kuwa ya kuviondoa vinyama kwa kufanya operations sio nzuri sana kwasababu huweza kutengeneza madhara zaidi na uwezekano mkubwa wa kupata kansa hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa ambazo zitatibu na kuondoa tatizo hilo na mgonjwa kupona kabisa ila cha kuzingatia ni kwamba ugonjwa huu ni wa kuambukiza hivyo inashauriwa wenza wote kupata matibabu hata kama atajihisi hana dalili yoyote ni vyema akafanya vipimo ili kujihadhari kabla ugonjwa haujaleta madhara zaidi.

Kumbuka waswahili husema bora kinga kuliko matibabu hivyo ni vyema ukajihepusha na ugonjwa huu kwa kuepuka yafuatayo;


Lakini pia ukishindwa kabisa kuwa na mpenzi mmoja tu ambaye ndio unaweza kumpa raha zote sehemu za siri zingatia kuwa mapenzi ni ujuzi lakini afya yako ni muhimu kuliko chochote.

kwa mawasiliano zaidi piga namba;0717035770 au 0753692612.
Tupo mwenge mpakani karibu na bodi ya mikopo.
Pia kama uko mkoani tunaweza kukusafirishia.

 


Post a Comment
Powered by Blogger.