T.I.D ATOA YA MOYONI KUHUSU BILL NAS.


Kumekuwa na mgogoro kati ya kiongozi wa kundi la Radar intertaiment msanii TID na aliyekuwa member wa kundi hilo msanii BillNas, TID amefunguka sababu za mgogoro wao.

‘’Mi sijapenda alikuwa akinibembeleza nimsaidie ajulikane, alikuwa ana nidhamu lakini sasa hivi hanipigii simu, tukimwambia afanye hivi hataki, why do we help people who does not help us,why he think he is on top all over the surden no!! People don live like that… People need to respect the people who help u… And of the day mimi I gave out to my heart, my voice, my energy, my talent to make him shine but I don’t see any effort hajanipa hata laki moja kuniambia nashukuru… anafanya tour hata kuniambia Mzee Mnyama chukua hii laki tano umenifanyia chorus kali never… huyo mtu wa aina gani hata ungekuwa wewe usingefurahi basi hata shilingi elfu kumi’’ Alilalamika TID.

‘’The first time mimi ndiye niliyemleta Clouds Fm kufanya interview ananiambia siwezi kuongea anatetemeka, ningetaka kumsign halafu ningemmaliza ingekuwa kila napokwenda kufanya shoo angekuwa ananilipa lakini niliona kwamba sina shida kitu nilichokuwa nakihitaji ni ‘appreciation’ ndo maana watu wanatoa cirtificate of ‘Appreciation’.
Bill Nas.
Billnas naye akizungumzia ishu hiyo alisema kuwa ameichukulia kawaida na sijamkimbia TID, mimi natambua mchango wake na nimewahi kuzungumza mara nyingi na najua nafasi yake kwangu na sijawahi kumadharau na kuondoka Radar halitakiwi liwe kosa.
Post a Comment
Powered by Blogger.