TAZAMA PICHA 8:ZA KITWANGA AKIMKABIDHI OFISI WAZIRI NCHEMBA.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Rais Magufuli kwa kosa la kujibu swali bungeni akiwa amelewa, Charles Kitwanga leo amemkabidhi Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba nyaraka za ofisi hiyo.
Tukio hilo limetokea leo katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi yaliyopo jijini Sar es Salaam.
Post a Comment
Powered by Blogger.