TAZAMA PICHA 5:UKAWA WAKITOKA BUNGENI HUKU WAKIWA WAMEZIBA MIDOMO NA KARATASI.


Wabunge wa Upinzani wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, huku leo wakitoka bungeni kwa mtindo mpya wa kuziba midomo na karatasi.
ukawa

Post a Comment
Powered by Blogger.