Tazama Jinsi TGNP Walivyokosoa Milioni 50 Za Rais Magufuli Kuwa Mkopo Vijijini.
Wanaharakati wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wameikosoa bajeti ya mwaka 2016/17 kutokana na kuzifanya Sh50 milioni zilizoahidiwa na Rais John Magufuli kwa kila kijiji, kuwa za mkopo badala ya kutolewa kama ruzuku.
“Tumeshuhudia wanawake wananyang’anywa samani zao na kusababisha msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa elimu ya biashara, tutawaua,” alisema
Post a Comment
Powered by Blogger.