TASWIRA 5:TATIZO LA MKOPO KUPATIWA UFUMBUZI.


TANT01Askari wa JKT pamoja na FFU wakihakikisha usalama wakati wananchi wakiingia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kuangalia bidhaa mbalimbali baada  ya maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa kuanza leo jijini Dar es salaam.
TANT3Afisa Habari Idara ya Habari,MAELEZO Bi.Immaculate Makilika akizungumza jambo na Afisa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Bw.Baruti Mwaigaga(kushoto)  katika banda la Wizara hiyo viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
TANT4Mwananchi akiangalia moja ya bidhaa  zinazotengenezwa na kikundi cha African Flowerless fashioncha Arusha kinachouza bidhaa zake nje ya nchi.Kulia ni Afisa wa kikundi hicho Bi.Suzana Mwalongo.
TANT5Mafundi wakiendelea na upakaji rangi katika banda la CRDB katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar e Salaam.
Post a Comment
Powered by Blogger.