TAMBUA SULUHISHO LA TATIZO LA MIGUU.
Na Dorcas Safiel, Alex Sonna


JE, UNA TATIZO LA MIGUU AU KUNA MTU UNAMFAHAMU ANA TATIZO HILO SOMA HAPA;

Watu wengi hasa wenye milli mikubwa pamoja na wazee wanasumbuliwa na tatizo la miguu.hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute katika joint(kiungo) cha mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa na hapo hapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa kutembea kabisa. 

CHANZO CHA TATIZO LA MIGUU...

Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa cartilage inalika, upungufu wa synovial fluid, maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo, na hasa huwapata watu zaidi ya miaka 50 na kuendelea.Ligaments: ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni kama utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukukunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage: Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule: Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane. Synovial fluid ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.


ATHARI ZITOKANAZO NA TATIZO HILO.

Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa. Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito.
Ugonjwa katika hatua zake za baadaye huleta matatizo katika viungo vyote vya mwili. Matatizo yanayoweza kujitokeza ugonjwa ukikua ni kama yafuatayo:SULUHISHO

Hakuna ugonjwa usio na suluhisho kama ukiuwayi mapema japo pia ukichelewa ina kuwa ni mbaya zaidi ila suluhisho halikosekani kabisa kwani hakuna jambo linaloshindikana chini ya jua hili ndomaana kuna dawa za ukimwi,kifua kikuu pia malaria basi kwa suluhisho la tatizo hili pia lipo tuna bidhaa nzuri sana kwa ajili ya tatizo hilo JOINT HEALTH CARE, husaidia kurudisha ute katika joints za mifupa kwa ujumla na kupelekea mtu kutembea kabisa tena bila ya maumivu
huwafaa pia wanamichezo kwa kuimarisha mifupa ata kwa watu walioteguka na kuvunjika.

 Tupo mwenge jijini Dar es salaam watu wa mikoani tunawatumia product kwa njia ya basi 
Wasiliana nasi kwa namba;0717035770,0753692612. Post a Comment
Powered by Blogger.