RAIS KAGAME ATUA TANZANIA.

www.seetheafrica.com
Rais Paul Kagame

Na Dorcas Safiel.


Ikiwa zimebaki saa chache ili maadhimisho ya saba saba yaaze rais Rwanda mh. Paul Kagame amewasili nchini Tanzania katika kufungua maadhimisho hayo ya saba saba hapo kesho julai 1 ni itakuwa saba saba ya tofauti kwani haijawayi kutokea kwa Rais huyu kuhusika katika maadhimisho hayo akiambatana na mwenyeji wake  Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuri  katika maadhimisho hayo.
Post a Comment
Powered by Blogger.