RAIS AWATAKA WANANCHI KULA PANZI NA PANYA.

Rais wa Peter Mutharika.


Rais wa Malawi Peter Mutharika amewataka wananchi wake wanaolalamika kuteswa na njaa kuanza kula Panzi na Panya ili kukabiliana na dhahama hiyo.
Mutharika ameyasema hayo siku ya Jumamosi iliyopita wakati Malawi ikikabiliana na upungufu mkubwa wa nafaka (mahindi) na kusema kuwa muda wa kutegemea mahindi umekwisha.
Post a Comment
Powered by Blogger.