Picha;Jeneza La Bondia Muhammad Ali Lilivyowasili Marekani Kwa Mazishi Ya Leo.
Ali alifariki wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 74.
Maelfu ya watu, wakiwemo Waislamu kutoka maeneo mengi duniani, wamehudhuria swala hiyo katika ukumbi wa Freedom Hall, mjini Louisville.
Swala hiyo inapeperushwa moja kwa moja kupitia
runinga na Waislamu wengi duniani wanatumai kwamba itaashiria mchango
mzuri kwa dini ya Kiislamu nchini Marekani.
Muhammad Ali alisilimu akiwa kijana. Alikuwa kwanza mwanachama wa madhehebu ya Nation of Islam, kundi lililotetea haki za watu weusi, lakini baadaye akakumbatia imani ya kawaida ya Kiislamu.