MTOTO WA OSAMA AELEZA ALIVYOTEKWA.

Ali Haider Gilani.

Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kutekwa nyara kwake na kundi la wanamgambo wa Al Qaeda.
Katika mahojiano na BBC, Ali Haider Gilani amesema Al Qaeda walimwambia kuwa kutekwa kwake ni hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Baba yake.
Watekaji walitaka kulipwa pesa na kuachiwa kwa wafungwa wa kundi la wanamgambo hao.
Gilani aliokolewa kutokana na Operesheni inayofanywa na Marekani na Afghanistan katika jimbo la Paktika .
Baba wa Gilani alikuwa Waziri Mkuu wakati kiongozi wa Al Qaeda, Osama bin Laden alipouawa nchini Pakistan.
Bwana Gilani amesema alishikiliwa kwa miaka miwili na kukabidhiwa kwa wanamgambo wa Taliban nchini Pakistan baada ya shambulio la Ndege zisizo na Rubani kutekeleza shambulio Kaskazini mwa Waziristan wakilenga ngome za Al Qaeda.
Gilani amesema Operesheni ambayo baadae alinasuliwa kutoka mikononi mwa wanamgambo nchini Afghanistan ililenga wanamgambo wa Al Qaeda, baadae aliokolewa na kujitambulisha kuwa alitekwa nyara na kuwa yeye ni mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan Osama Bin Laden.
Post a Comment
Powered by Blogger.