MTOTO WA MIAKA 8 KUBAKWA.

Mahakama
Mkoani Mtwara jeshi la polisi limemfikisha Mahakamani Andrea Michael mkazi wa kata ya Jida wilaya ya Masasi kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8 mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Mangumchila na kumuambukiza ugonjwa wa kasendwe.
kamanda wa polisi mkoani mtwara amesema kuwa mama mzazi wa mtoto huyo aligundua nyendo za mtoto wake kwa kushindwa kutembea vizuri na ndipo alipoamua kumuuliza kinachomsibu na kuamua kumpeleka hospitali na kugundua kafanyiwa kitendo hiko na pia kuambukizwa maginjwa ya zinaa ata hivyo kamanda wa polisi alisema kuwa mtoto anaendelea vizuri na hatua dhidi ya mtuhumiwa zimeshachukuliwa.
Post a Comment
Powered by Blogger.