Msaada Wa Wanafunzi Bikra Hatihati Kufutiliwa Sababu Unabagua Nchini Afrika Kusini.

Bodi moja nchini Afrika Kusini imeamua kuwa misaada ya kifedha kwa wanafunzi wa vyuo vikuu walio mabikra inakiuka sheria na inafaa kufutiliwa mbali.
Baraza la mji wa Kwa Zulu-Natal lilianzisha fedha hizo ili kupunguza viwango vya ukimwi pamoja na  mimba za utotoni.
Wizara ya Ustawi wa jamii jinsia na watoto  imesema kuwa msaada huo unaowalenga wasichana mabikra pekee unabagua baadhi ya wasichana wa nchi hiyo pia mpango huo ulizua hisia kali ulipoanzishwa mapema mwaka huu.
Katika uamuzi wake baada ya makundi ya haki za kibinaadamu kuwasilisha lalama zao,Tume hiyo ilisema: Unakiuka sheria kuhusiana na heshima, usawa na
Post a Comment
Powered by Blogger.