Mjue Aliyeolewa Bila Ruhusa Yake Achomwa Hadi Kufa.

Maria Sadaqat.

Maafisa wa polisi katika mji wa Pakistan wa Lahore wamemkamata mwanamke anayetuhumiwa kumuua mwanawe wa kike kwa kufanya ndoa bila ruhusa ya familia.
Maafisa wa polisi wanasema mwili wa Zeenat Rafiq una ishara za alama za mateso.
''Alifungwa kamba katika kitanda ,kumwagiwa mafuta na kuchomwa''.
Mamaake anatahumiwa kwa kumchukua kutoka kwa wake ni kisa cha tatu katika kipindi cha mwezi mmoja nchini Pakistan ambapo mashambulio ya wanawake wanaokiuka sheria za kihafidhina kuhusu mapenzi na ndoa hufanyika.

Wiki iliopita mwalimu Maria Sadaqat,alichomwa katika eneo la Murree karibu na mji wa Islamabad kwa kukataa kuolewa.
Alifariki kutokana na majeraha.
Post a Comment
Powered by Blogger.