MBAYA WA TRUMP KUJIONYESHA.

Kijana mmoja huko marekani anayejulikana kwa jina la Michael Stanford siku ya jumamosi aliendesha gari lake hadi Las Vegas kwenye kwenye mkutano wa mgombea urais kwa chama cha republican kwa nia ya kumuua mwana siasa huyo ameshikiliwa na jeshi la polisi katika mkutano wa kisiasa wa Donald trump baada ya kumpora afisa wa polisi bunduki, aliwaambia wapelelezi wa marekani kuwa alitaka kumuua mgombea huyo wa urais kwa chama cha republican Donald trump kwa kumpiga risasi.