Mambo Sita (6) Muhimu Usiyoyajua Kuhusu Maua Sama
hey Maua , welcome to Q and A with Diva : Lets talk about The album, niliisikia then Ghafla kimya , whats goin on ?!
( Maua )
Yes album inakuja ila ni mipango tu ambayo me na my team..soon itakamilika itakua tayari..
Diva : Mahaba niue imekuingizia Pesa ambazo unastahili? imekupa Mafanikio gani so far?! (Maua) : mahaba niue imeniiingizia sana Mimi kama msanii imeweza kuniingizia fedha pamoja nimeweza kunyanyua status yangu mimi kama Msanii …. imenifanya nimepiga hatua kubwa.. Na kunitengezea heshima sio kifedha tuu bali hata kimaisha.. .
(Diva ) : Watanzania wengi wanahisi wewe ni Mchaga na jinsi pia ambavyo unaongea lakini pia wewe ni Mtu wa Tanga imekuaje?! uchaga na utanga?!
(Maua) : Mimi nimekulia moshi.. nimezaliwa tanga then nikakulia moshi nimesoma moshi nimeishi moshi maisha yangu yote.. but kabila langu ni msambaa.. ila nimelelewa uchagani.. ..
(Diva ) : Dating anyone ?! any plans za ndoa? na unahisi ukiolewa uta drop kimuziki kama wasanii wengine wenginwalioshuka kabisa baada ya kuingia katika ndoa?!
(Maua ) : No I’m not dating .. wala cna plans za kuolewa… well hapana.. nyota itashuka pale nitakapokua house wife then nikajisaau .. lakini nikiweza kumaintain na kujua nafas yangu kama msanii nina mangapi ya kuachieve au malengo yangu kimziki nimeshayatimiza.. naweza kuolewa na bado nikamaintain game kama kawaida..
(Diva): bado uko na Mwanafa na management yako ya zamani bado uko nayo ?!
(Maua ) : saivi nipo chini ya THT…kama management yangu.. currently I have a new song ambayo inafanya vizuri katika radio tofauti tofauti.. inaitwa.. SISIKII And it’s a song about love.. ni nyimbo ambayo inagusa sehem kubwa ya maisha yangu Na ya wengine kiujumlaSisikii ni ngoma ambayo nimeifanya Kwa my producer Emma the boy….
(Diva :) anything to your fans ?!

(Maua ) : ningependa kuwaambia mashabiki kua nawapenda sana.. And nashkuru Kwa support wanayonipa. Natambua uwepo wao and kama wanataka kujua more about my music Na Masha ya kawaida wanifollow Facebook instagram na Twitter kote natumia @mauasama

Source: Diva255.co


DOWNLOAD SISIKII 

Post a Comment
Powered by Blogger.