Umaarufu Ni Kioo

ushauri kwa watu maarufu ni kujiheshimu kutokana na umaarufu wao wasiwe chanzo cha wengine kuharibika pasipo sababu muhimu au kupelekea watu kujiingiza katika mambo hatarishi ilimladi tu awe kama fulani au kina fulani tumia umaarufu wako vyema kwani u kioo cha jamii na zaidi ya yote ni kama barua ambayo mtu yeyote anaweza kukusoma ikiweza kumfikia..

Post a Comment
Powered by Blogger.