Majanga Kwa Rafael Nadal Kuikosa Michuano Ya Wimbledon.

Mcheza Tenisi Rafael Nadal.

Nyota wa mchezo wa tenesi duniani Rafael Nadal ataikosa michuano ya wibledon kwa kusumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mkono wa kulia.

Nadal atakosa michuano hiyo itayoanza kutimua vumbi kuanzia Juni 27 mpaka julai 10, mchezaji huyu alithibitisha kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook.

Mchezaji huyu anasema "ingeweza kuniletee tatizo zaidi kama ningeendelea kucheza huku akiwa na tatizo hilo la kifundo cha mkono ".Kwa sasa Nadal anashika nafasi ya nne kwa ubora wa mchezo huu
Post a Comment
Powered by Blogger.