MAMBO 8 USIYOYAJUA KUHUSU MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM.

Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda.
Na. Dorcas Safiel, Alex Sonna.

Hii ni historia ya muheshimiwa paul makonda mkuu wa mkoa jijini Dar es salaam, amezaliwa tarehe 15\2\1982 huko Kolomije wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza katika zahanati ya Kolomije siku ya Jumatatu saa 1;30 Asubuhi ni mtoto wa kipekee wa kiume katika familia ya mzee Makonda na bi.Suzan
mh.Paul Makonda ametoka kwenye familia ya kawaida mama yake alisoma mpaka darasa la 7 na baba yake hakusoma kabisa lakini pia alihishi katika kusudi la mungu na kumtumikia pia ni kitu kilichomfanya awe bora katika ukuaji wake wakati wote, alibahatika kuwa na ndugu  wa kike lakini aliweza kuishi ndani ya mwaka na nusu toka kuzaliwa kwake na kufariki dunia. 

Amesoma shule ya msingi katika shule ya kolomije,sekondari alisoma kutokana na changamoto za kipato katika familia hakuweza kwenda kidato cha tano na kwenda chuo Mbegani chuo cha uvuvi mjini bagamoyo kuanza ngazi ya cheti,diploma na ata kufika chuo kikuu katika kuchukua shahada yake sifa kubwa aliyokuwa nayo chuoni na aliyoacha hapo  wanafunzi wengi kubadilika tabia na kumtumikia mungu, Pia nyumbani alikuwa mchapakazi asiye mvivu alikuwa radhi kukaa njaa lakini kufanya kazi daima hasa katika kulima alimpa mama yake faraja pale alipokuwa na huzuni, lakini msikivu kwa kila mtu amekuwa faraja katika familia ya makonda wakati wote katika maisha yake hakuwayi kufikiri kama kuna mtu atamfanyia mahamuzi zaidi yake mwenyewe. Mh.Paul Makonda ametia maisha magumu ili tu aweze kupata shahada moja alikuwa utingo wa kubeba mizigo ya watu huko mkoani Mwanza,mwaka 2001-2002 alikuwa mchimba mchanga na mkata mkaa huko Mbezi Luis pia amewayi kuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi Muccobs.
Mh. Paul Makonda akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015

Ni mwana siasa kupitia chama cha mapinduzi( CCM) kabla ya kuwa mkuu wa wilaya aliwayi kuwa katibu wa umoja wa vijana wa ccm( uvccm) uhamasishaji na chipukizi, wakati wa Rais mstaafu dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya mkoani Dar es salaam mnamo tarehe 18|2|2015 jambo ambalo alifurahi sana na kwenda kumshukuru Mungu, changamoto ambazo aliwayi kupitia ni kama zifuatazo.
Hata hivyo tarehe 13\3\2016 Rais wa muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuri aliweza kumteuwa kuwa mkuu wa mkoa wa jiji la Dar es salaam katika sekta ya kuwa mkuu wa mkoa alikuta changamoto zifuatazo;
Mh,Paul makonda kwanza ni kijana mdogo katika siasa na pia mkakamavu kwani mtu yeyote anaweza kujifunza kupitia kwake kuhusu maisha lakini pia haya ni mambo 8 usiyo yajua juu ya Mh.Paul Makonda katika kupenda kazi yake pamoja na nchi yake ya Tanzania..
Hayo ni baadhi kati ya mengi aliyoyafanya Mh.Paul Makonda katika jiji la Dar es salaam akionyesha kukubali kufanya yote ambayo ni kero jijini hapa ndani ya miaka 5 na mengine mengi ambayo yapo njiani kuja.

Post a Comment
Powered by Blogger.