MADAWA YA KULEVYA JANGA KWA TAIFA.


Madawa Ya Kulevya.
Na Dorcas Safiel.


 Hili ni tatizo kubwa katika nchi mbalimbali hapa duniani kwetu madawa ya kulevya huaribu wengi na yameshaharibu wengi japo wapo wengi wanaotumia madawa hayo na hawajui athari au chanzo cha madawa hayo ni nini na kazi yake hasa madawa hayo ni nini, wasanii wengi na ata watu ambao sio wasanii wamejiingiza katika madawa haya na kuwa vigumu kabisa kuweza kuacha lakini pia serikali ya Tanzania imeweza kuwasaidia wengi katika kuacha kabisa madawa hayo kama Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho kikwete kumsaidia mwanamuziki Ray C katika suala nzima la kuachana na madawa hayo,kiukweli madawa haya yamekuwa ni tatizo ata nchi isiweze kuendelea kwani vijana wengi wamejiingiza katika madawa hayo na kukosa nguvu kabisa ya kufanya kazi ata hivyo ni kilio kwa wazazi hao kwani wanafanya vitu ambavyo wazazi hawakuwayi kukaa na kufikiri kama mtoto wao angeweza kujiingiza katika mzunguko huo mbaya ambao kila mtu anakataa.

                           MAANA YA MADAWA YA KULEVYA.

Madawa ya kulevya ni  matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji.madawa hayo lazima uwe umeshahuriwa na tabibu ili kutumia ndani ya maelekezo yake,watu hutumia madawa hayo bila maelekezo kama vijana katika makundi mabaya huaza taratibu kutumia na mwisho kuathrika na kufanya kuongeza kiwango cha utumiaji.

                     ZIFA ZAKE NI PAMOJA NA;

                       
               AINA ZA MADAWA YA KULEVYA.

                                Pombe 

Ni dawa ya kulevya ya burudani inayotumiwa kila wakati vibaya sana. Inaweza kupunguza uwezo wa kujizuia, kusababisha maamuzi mabaya na kwa hivyo pia kuongeza hatari ya kuhusika katika ngono bila kuwajibika. Matumizi mabaya ya muda mrefu ya pombe huchangia shida ya uharibifu wa ini.

             Dawa Za Kulewesha - Vichangamsho
 
Dawa za kulewesha ni zile ambazo huchangamsha ubongo. Huleta hisia ya kujihisi vizuri na imani kwa muda. Baada ya hisia hii huwa kwa kawaida kuna kipindi cha kujihisi vibaya, au kudhoofika, hii inaweza kuwafanya watu kutaka kutumia vichangamsho zaidi ili kujihisi vizuri.

               Dawa hizi za kulewesha ni pamoja na zifuatazo: 
Vitulizaji — Vikandamizaji

Vikandamizaji hupunguza utenda kazi wa akili au mwili, na vina athari ya kutuliza. Baada ya kutumia dawa hizi za kulevya watu huhisi wana hofu au kukasirika, na wanataka kuzitumia mara kwa mara. Hii inaweza kusababisha kutaka kuzitumia kwa kila mara.

                   Dawa hizo ni kama zifuatazo;

Heroini: Inayoitwa pia smack, skag, brown, H, brown sugar, white junk.
Bangi: Inayoitwa pia dagga, cannabis, weed, blunt, grass, herb, boom, joint, spliff, ganja, hash, skunk, pot, majani 
Mandrax: Inayoitwa pia buttons, smarties, double barrels, tembe za furaha, mandies, mandrake au mandrix 
GHB: Inayoitwa pia Liquid E au G 
Pombe: Vileo ndio vitulizaji vinavyotumiwa sana

                              Madhara ya madawa ya kulevya


Post a Comment
Powered by Blogger.