LIJUE TUNDA PENDWA MWENZI WA RAMADHANI.

Na Dorcas Safiel.
Tende ndio tunda pekee lenye kuupatia mwili vitu vinne kwa wakati mmoja, vitamin, protini, wanga na mafuta. Mbali na utamu wake tende ambazo hulika sana mwezi wa ramadhan zina faida nyingi sana kwa mwili wa binadamu
Tende ni tunda ambalo linayeyuka kirahisi tumboni na lenye faida nyingi sana ambazo hulifanya liwe tunda la kipee.baadhi ya faida za tende mwilini:
kiukweli kuna faida nyingi za tende na unaweza kuila tende kwanamna mbalimbali, kama vile kuchanganya na maziwa, kuchanganya na mkate auvitafunwa vingine. Ifanye tende kuwa sehemu ya mlo wako wa kila siku iliujipatie faida hizi 10 na nyingine.