Lihan Asema Hajawahi Kutoka Kimapenzi Na Bill Nas.

Linah.
Msanii wa bongo fleva Linah Sanga ambaye siku za karibuni amekiri wazi kuwa mapenzi yamemuathiri katika kazi yake ya sanaa na kufanya watu kufuatilia zaidi maisha yake ya mahusiano kuliko kazi zake amefunguka na kuweka sawa kuwa hatoki kimapenzi na msanii Billnas.
linnah
Linah akiwa Bill Nas.

Post a Comment
Powered by Blogger.