LEO SIKU YA MTOTO DUNIA,WAZIRI WA JINSIA WAZEE NA WATOTO,UMMY MWALIMU ATOA TAMKO HILI.

Waziri Wa Afya,Jinsia na wazee na watoto na Maendeleo ya jamii Ummy Mwalimu.

Hata hivyo ameeleza kuwa Serikali inapata changamoto kuhusu watoto kuwa wengine wanateswa na ndugu zao na kufichwa au anafanyiwa udhalilisha kama huu na jamii zinatakiwa zielimika kutokana na kitendo hicho kimepitwa na wakati.


 Na pia ametowa wito kwa jamii kuwa kuna baadhi ya wazazi kuwaachisha masomo wanafunzi wa kike kwa lengo la kwenda kuolewa au kufanya kazi za ndani waache mara moja sababu wakijulikana hatua kubwa itachukuliwa.

Post a Comment
Powered by Blogger.