Leo Ni Leo Bila Benzema Ufaransa Kufungua Pazia La EURO 2016.


Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza kutimu vumbi leo huko nchini Ufaransa. 

Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo ukichezwa katika dimba la Stade de France Mjini Paris.
Stadium Stade De France.

Kocha wa Ufaransa.
Jumla ya 24 zitashiriki michuano hii na ikiwa ni mara ya kuweza kushirikisha idadi ya timu hizo hapo awali ni timu 16 tu ndizo zilikua zinacheza michuano hii.
Romania.

Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012.
Post a Comment
Powered by Blogger.