Kuna Nini Nigeria Msiba:Mwingine Kocha Wa Timu Ya Taifa Afariki Dunia.
AMODU


Siku chache baada ya kifo cha Stephen Keshi aliyewahi kuwa kocha wa timu ya taiga ya Nigeria, kocha mwingine wa timu hiyo maarufu kama Super Eagles, Shaibu Amodu naye amefariki dunia, leo.


 Chanzo Salehjembe.blogspot.com.
Post a Comment
Powered by Blogger.