KIJANA KUJIKATA SEHEMU ZA SIRI.

Hospital
Na Dorcas Safiel.

Huko muhenza kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika amejikata sehemu zake za siri zote aliwaishwa hospital akiwa anavuja damu sana muuguzi wa hospitali hiyo alisema kuwa kijana huyo inaonekana hana ukaribu mnzuri na familia yake pia daktari aliongeza kuwa kijana huyo walipomuaji alisema ata yeye hajui kwanini alifanya hivyo labda ni majini lakini daktari alisema zaidi kuwa kijana huyo yuko vizur na wameweza kumfanyia upasuaji mdogo na kumuwezesha kubakia na sehemu ya kutolea haja ndogo, japo majirani walisema kuwa ni jambo walilolishangaa na kuhisi labda anavuta madawa ya kulevya.
Post a Comment
Powered by Blogger.