JEURI YA FEDHA YA MANJI,MASHABIKI KUINGIA BURE YANGA NA TP MAZEMBE KESHO.

 
 Uamuzi ni kwamba mechi hiyo itakuwa haina kiingilio na mashabiki waaruhusiwa kwenda kwa wingi kuishangilia Yanga," kilieleza chanzo."Si lazima kila shabiki anayekuja awe wa Yanga, waambie na mashabiki wa Simba waje.
 
 Hata kama watabeba bendera tu za Tanzania. "Yanga ni ya Tanzania, Yanga haitokei Congo na TP Mazembe haitokei Tanzania, waje waishangilie timu ya Tanzania."
Post a Comment
Powered by Blogger.