JE UNAJUA DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO SOMA HAPA.

DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

• Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...

• Kwa hiyo mwezi huu wa6 uwe ni wenye malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.

• Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.

• We bado mrembo mno kama huamini nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa mwenye furaha tena.

• Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi, hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa usipokuwa na mpenzi.... Jifikirie wewe kwanza jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa kila ufanyalo na mengine yatafuata.
Post a Comment
Powered by Blogger.