Huyu Ndiye Mshindi Wa Kipengele Cha Msanii Bora Wa Afrika BET 2016

Mwanamuziki na Prodyuza wa muziki Dj Black Coffe kutoka Afrika Kusini ametangazwa kama mshindi wa Tuzo ya Msanii bora wa kimataifa kwa Upande wa Afrika kwenye Tuzo Za Bet,
Dj Black Cofee amewapiga chini Diamond Platnumz, Yemi Alade, Wizkid, Mzvee, AKA, Cassper Nyovest na Serge Beynaud.
Tuzo ya BET mwanamuziki Bora  wa Afrika mwaka 2016 imetolewa usiku wa Jumamosi 25/06/2016 ukumbi wa Staples Centre Los Angeles Marekani.
Post a Comment
Powered by Blogger.