Hizi Hapa Tetezi Za Usajili Ulaya.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp kuwasajili kiungo Javier pastore npamoja na mlinda mlango , Marc-Andre ter Stegen,vilevile Jurgen Klopp anataka kumludisha kikosini aliyekua kiungo wa Liverpool Nuri Sahin anayekipiga katika klabu ya Borusia Dortmund ya Ujeruman.

Kocha Pep Guardiola anataka kuwasajili kiungo kutoka katika klabu ya Almeria ya la liga pamoja na mshambuliaji Piere Emelic Aubameyang anayekipiga katika klabu ya Dortmund,Anayefuata anaweza akawa Jone Stone.
Klabu ya Chelsea italazimika kungojea saini ya mshambuliaji kutoka Atletico Madrid ya la liga Antonio Griezmann ilikuja kuziba nafasi ya kiungo mshambuliaji Edern Hazard anayetakiwa na klabu ya Real Madrid ya uhispania.
Antoine Griezmann


kocha wa man united Jose Morinho amekamilisha usajili wake wakwanza wa mlinzi Eric Bailly aliyefuzu vipimo vya afya huku dili la Zlatan likisubili zaida.
Zlatan Ibrahimovic.


Eric Bailly.


Post a Comment
Powered by Blogger.