HII NDO KAULI YA RAIS MAGUFULI JUU YA GESI YA HELIUM ILIYOGUNDULIKA.


"Tunamshukuru Mungu Tanzania tumegundua gesi aina ya Helium (He), wito wangu kwa wachumi, wanasheria na watanzania wote kwa ujumla tujipange. Ugunduzi huu utuelekeze kujipanga hasa katika eneo la mikataba yetu ili rasilimali hii adimu isaidie kuujenga uchumi wetu" -Rais Magufuli

Post a Comment
Powered by Blogger.