Haya Ndiyo Maneno Ya Jide Yanayomfanya Shaa Aendelee Kudumu Kwenye Muziki


“Namquote dada Jide kitambo like 5 or 6 years back aliniambia kwamba ‘ukifanya kazi hii kwaajili ya kupata awards mdogo wangu utagive up’ utakata tamaa. Aliniambia wewe fanya kazi hii focus kwenye malengo yako, tengeneza pesa ujifikishe pale unapotaka,” alisema Shaa kwenye video ambayo Jide aliipost Instagram.

Jide aliandika kwenye video hiyo: Unapompatia mdogo wako ushauri halafu anaamua huufanyia kazi ni jambo la faraja sana. Keep it up my Shaa. Never ever Give up, no matter what.”

  Angalia Hii Ya Wolper Akielezea Alichompendea Mpenzi Wake.

Post a Comment
Powered by Blogger.