Haya Maajabu Mengine Yaliyomtokea Mwanamke Aliyefungwa Uzazi Kwa Zaidi Ya Miaka 12

Mwanamke mmoja raia wa Nigeria ambaye hakujulikana jina lake mara moja ameripotiwa kujifungua watoto watatu miaka 12 baada ya kudhaniwa kuwa mgumba.

 Kupitia mtandao wa facebook mtumiaji mmoja wa mtandao huo alisambaza taarifa hizo zilizoshangaza ulimwengu siku ya 14,Juni mwaka huu. "Mwanamke huyo ambaye alikua akisemwa sana hasa na familia ya mumewe ameamua kuushangaza ulimwengu mara baada ya kujifungua watoto wengi kwa wakati mmoja." Alisema Shuhuda huyo.


 Angalia Hii Ya Mtoto Aliezaliwa Huku Moyo Wake Ukiwa Nje Ya Mwili

Post a Comment
Powered by Blogger.