Haya Hapa Matokeo Ya COPA AMERICA NA EURO,Brazil Fungu La Kukosa.

Michuano ya Copa America imeendelea tena usiku na Alfajiri ya leo kwa mechi mbili kuchezwa Ecuador alicheza na Haiti na Brazil alikutana na Peru.
Ecuador wametinga hatua ya makundi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Haiti na Brazil imeendelea kuwa nyanya na kutolewa na Peru kwa mabao 1-0 kundi hili Ecuador ana pointi 5 sawa na Peru huku Brazil wakibaki na Pointi zao 4.
Nchini Ufaransa michuano ya iliendelea jana kwa mechi tatu zilichezwa mechi ya mapema ilikuwa Uturuki na Croatia na Croatia walibuka na Ushindi wa mabao 1-0,Poland na wameshinda bao 1-0 na mchezo wa ulikuwa ni Ukraine na mabingwa wa Dunia Ujerumani na mchezo huo umemalizika kwa Ujerumani kuanza vyema kwa kuitandika Ukraine mabao 2-0.
Post a Comment
Powered by Blogger.