HAKI ZA MTOTO AFRICA

Na Dorcas Safiel.

Hakuna kigeni katika dunia hii katika suala nzima la ujazaji duniani ambalo ni agizo kutoka kwa mungu mwenyewe kwenda kwa binadamu " zaeni mkaongezeke,mkaijaze nchi na kuitisha."kwa kila binadamu aliyechini ya dunia hii alipitia kwenye utoto na changamoto zake wote twazijua ata hivyo haijarishi kama ulizaliwa ndani ya ndoa au nje ya ndoa bado kitambulisho chako ni kuitwa mtoto lakini yamkini watu hawajui mtoto ni nani Sheria na mikataba mbalimbali inayozungumzia huduma na haki za mtoto, inamtambulisha mtoto kama mtu yeyote mwenye umri wa miaka chini ya 18 ambaye anahitaji uangalizi mkubwa kutoka kwa wazazi,jamii, na ata walezi kuna maeneo mengi ambayo watoto huaza kuolewa kuanzia miaka 15 ikiwa kama ni kukiyuka sheria ya nchi hakika biblia haijamuelezea mtoto ni kuanzia miaka mingapi hatuna budi kuifuata sheria ya nchi yetu ili watoto wetu tuweze kuwatuza, mambo mengi yametokea na yanazidi kutokea ndani ya nchi na ata nje ya nchi kuhusu watoto kubakwa, kulawitiwa,kuuwa na ata kunyanyaswa na mengine kibao yanaofanana na unyanyasaji wa mtoto duniani.

hayo ni baadhi tu ya haki za watoto kupitia sheria ya nchi ya Tanzania japo wengi wazivunja kwa kutofuata mfumo huo hakika mtoto anahitaji kulindwa sana na familia au hata jamii ili tu kutosababisha mambo mabaya kwao kutendeka mzazi ni tegemeo la mtoto kuliko jirani kumbuka ukimpenda mtoto wako utamlinda na kumpigania japo serikali inajitahidi kwa nafasi yake lakini mzazi ni sehemu ya kwanza kukaa katika nafasi ya kumlea mtoto wake katika njia sawia kabisa ili tu awe na faida ndani ya jamii na taifa nzima na kuzidi ata dunia yote hakuna mzazi anayependa kuona maendeleo ya mtoto wake kuwa mabaya ebu jiulize umefanya nini ili mwanao kuwa na maendeleo manzuri nikimaanisha kuwa kitabia,kielimu,nk wewe ni chanzo cha kumfanya mwanao kuwa na muonekano mnzuri sina maana kwamba ya sura hapana na maanisha tabia yake kwa wengine kumbuka wewe ni kioo kwa mtoto  na mlinzi wa maisha yake.
Post a Comment
Powered by Blogger.