Faini Milioni 7 Au Jela Miaka 3 Kwa Kosa La Kumtukana Rais Magufuli Mahakama Imeamua Hivyo.

Isaac Abakuk aliyemtukana Rais Maguguli.


Bw.Abakuk amekiri kutenda kosa hilo na mahakama imeamuru kuwa atalipa pesa kwa mihula miwili yaani kuanzia leo millioni tatu na nusu atalipa na awamu ya pili itakuwa tarehe mwezi wa nane millioni tatu na nusu ili iwe fundisho kwa wengine wanaokiuka katiba na sheria za nchi.

Post a Comment
Powered by Blogger.