RAIS OBAMA ATOA POLE UTURUKI.
![]() |
Rais wa Marekani Barack-Obama |
Obama anasema kuwa amempigia simu Rais wa Uturuki kumpa salam za rambirambi sambamba na kusisitiza dhamira ya nchi yake kuendeleza mapigano dhidi ya IS.
Shambulio hilo linatajwa kuwa limeuwa watu wengi zaidi nchini humo ikilinganishwa na mashambulizi kadhaa yaliyopita.