BASI LA SUPER SAMI LAPATA AJALI NA KUUAWA NA KUJERUHI.

Abiria watano waliokuwa wakisafiri kwa basi la Super Sami kutoka jijini Dar es Salaam kwenda jijini Mwanza wamefariki dunia papo hapo na wengine kumi na tatu kujeruhiwa vibaya baada ya basi hilo kugonga jiwe na kupinduka katika eneo la Bushini kata ya Mabuki wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
Post a Comment
Powered by Blogger.