ASKARI JWTZ AUAWA KWA KUPIGWA FIMBO NA WAFUGAJI.

Watu watatu wameuawa kwa nyakati tofauti mkoani Tabora akiwemo Askali wa Jeshi la wananchi wa Tanzania,(JWTZ)aliyepigwa fimbo na wafugaji akiwa katika ujenzi wa nyumba yake,baada ya kuwalalamikia kuwa, ng’ombe wamevamia katika kiwanja chake na na kuharibu vitu mbalimbali vya ujenzi.
 
Post a Comment
Powered by Blogger.